• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Hukumu ya Malinzi sasa December 5

  (GMT+08:00) 2019-11-22 18:04:03

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu nchini Tanzania imesema itatoa hukumu dhidi ya rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jamal Malinzi na wenzake watatu mwezi ujao. Malinzi na wenzake hao wanakabiliwa na mashtaka 20 yakiwemo kula njama, kughushi, kijipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji wa fedha kiasi cha sola za kimarekani 173,335.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako