• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Sekta ya jua kali kunufaika na mpango wa ujenzi wa nyuma wa serikali

  (GMT+08:00) 2019-11-22 18:26:03
  Serikali ya Kenya itanunua milango na dirisha za shilingi bilioni 3 kutoka kwa sekta ya jua kali za kutumiwa kwenye miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu.

  Wizara ya nyumba imesema itanunua milango 100,000 na madirisha 120,000.

  Wizara hiyo imewaomba wadau wa sekta ya Jua Kali kushirikiana na wizara kupitia kjwa vyama vyao ili kupata fursa ya kuunza bidhaa hizo.

  Katibu wa kudumu wa wizara hiyo Charles Hinga amesema sekta ya Jua Kali ni moja wepo wa wachangiaji wakuu wa utengenezaji na uchumi wa taifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako