• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Barabara za mji wa Naorobi kuendelea kukarabatiwa

  (GMT+08:00) 2019-11-22 18:26:23

  Halmashrui ya barabara nchini Kenya imetenga shilingi milioni 415 za kukarabati barabara za kaunti ya Nairobi.

  Gavana wa kaunti hiyo Mike Sonko amesema fedha hizo zitasaidia juhudi zinazoendelea za kukarabati barabara za mji huo mkuu.

  Taakwimu kutoka kwa serikali ya kaunti ya Nairobi zinaonesha kuwa serikali imekamilisha kilomita 123 za barabara na inalenga kukamilisha kilomita 190 ifikapo mwishoni mwa kipindi cha mwaka wa fedha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako