• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yapunguza zaidi idadi ya sekta na makampuni yanayozuiliwa kuingia kwenye soko

  (GMT+08:00) 2019-11-22 18:29:30

  Serikali ya China leo imetoa "Orodha ya sekta zilizozuiliwa kuingia kwenye soko mwaka 2019", na kupunguza zaidi idadi ya sekta na makampuni yanayozuiliwa kuingia kwenye soko la China.

  Kwenye orodha hiyo iliyotolewa na Wizara ya biashara ya China na Kamati ya Maendeleo na Mageuzi ya China, idadi ya maeneo na hatua za usimamizi zimepungua kwa asilimia 13 hadi 131 ikilinganishwa na orodha ya mwaka jana, ikiwa ni pamoja na kurahisisha kuanzisha mashirika ya huduma za matunzo ya uzeeni na mashirika ya ustawi wa jamii.

  Kamati ya Maendeleo na Mageuzi ya China imesema, hatua hiyo itasaidia kuhimiza usimamizi wa vigezo vya kuingia kwenye soko, na kuchochea uhai wa soko la China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako