• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manowari ya jeshi la majini la China Weifang yawasili Cape Town kushiriki kwenye mazoezi ya pamoja ya nchi tatu

    (GMT+08:00) 2019-11-25 08:43:02

    Manowari ya jeshi la China Weifang imewasili kwenye bandari ya Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki kwenye luteka ya pamoja ya kijeshi baharini kati ya nchi tatu za China, Russia na Afrika Kusini.

    Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa majeshi ya majini ya nchi hizo tatu kufanya mazoezi ya pamoja kwenye maeneo ya bahari Kusini mwa Afrika. Manowari na meli sita kutoka nchi hizo tatu zitashiriki kwenye mazoezi hayo yanayotarajiwa kuanza rasmi leo Novemba 25.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako