• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwanamume ashitakiwa kuhusiana na vifo vya watu walioko lori ya Essex

  (GMT+08:00) 2019-11-25 08:55:33

  Mwanamume mwenye umri wa miaka 23 Christopher Kennedy kutoka Ireland Kaskazini ameshitakiwa kuhusiana na miili ya watu 39 iliyogunduliwa kwenye lori la friji mwezi Oktoba huko Essex kusini mashariki nchini Uingereza. Kennedy alikamatwa mapema Ijumaa huko Beaconsfield, Buckinghamshire, na atafikishwa kwenye Mahakama ya Chelmsford leo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako