• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Meya wa zamani wa NYC azindua kampeni ya uchaguzi wa urais

  (GMT+08:00) 2019-11-25 08:56:01

  Meya wa zamani wa Mji wa New York Marekani Michael Bloomberg amezindua video Jumapili akitangaza rasmi kampeni yake ya uchaguzi wa urais ya mwaka 2020. Video yake ya dakika moja inamwonesha mmiliki huyo wa vyombo vya habari mwenye umri wa miaka 77 kuwa "mtoaji wa ajira, kiongozi na mfumbuzi wa matatizo". Mtangazaji pia amesema Bloomberg anayetoka chama cha Democrat, atahimiza matajiri walipe kodi zaidi, tabaka la kati kupata haki zaidi na watu wote waweze kuwa na bima ya afya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako