• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Caleb Ayodi mwenyekiti mpya wa FKF Nairobi West

  (GMT+08:00) 2019-11-25 18:20:01

  Caleb Ayodi Malweyi amechaguliwa mwenyekiti mpya kuongoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) Tawi la Nairobi Magharibi baada ya kuwashinda wapinzani watatu kwenye uchaguzi uliofanyika Nyayo Stadium, Nairobi. Caleb aliyekuwa katibu wa tawi hilo alitwaa wadhifa huo kwa kuzoa kura 38 na kuwanyoa wenzake akiwamo aliyekuwa mwenyekiti wake, Bashir Hussein aliyepata kura tano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako