• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri wa mambo ya nje wa China asema hila yoyote ya kuvuruga Hong Kong haitafanikiwa

  (GMT+08:00) 2019-11-25 18:34:39

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amesema, jaribio lolote la kuvuruga utulivu na ustawi wa mkoa wenye utawala maalum wa Hong Kong nchini China halitafanikiwa, bila ya kujali mabadiliko ya mwelekeo wa hali ya mkoa huo, na kwamba suala la Hong Kong ni jambo la ndani la China.

  Wang amesema hayo wakati tume ya uchaguzi wa wabunge ya Hong Kong ikitangaza kuwa, wabunge 452 kutoka maeneo 18 ya uchaguzi wa bunge la Hong Kong wamechaguliwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako