• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda yapanua soko lake hadi nchini Russia

    (GMT+08:00) 2019-11-25 18:46:59

    Miezi michache tu baada ya ubalozi wa Uganda nchini Russia kuandaa maon yesho ya bidhaa mjini Moscow Russia sasa wafanya biashara nchini humo wanatarajia kuuza mazao yao katika nchi hiyo. Mazao ya Uganda kwa muda mrefu yamekuwa yakipata soko katika Umoja wa Ulaya, Afrika mashariki na COMESA. Hivi sasa wafanya biashara wa Uganda w2atakuwa wakisafirisha mazao yao moja kwa moja hadi mjini Moscow badala ya Milki za kiarabu. Utafiti unaonesha kuwa Thamani ya bidhaa za Uganda zilizouzwa nje mwaka wa 2018 ilikuwa ni dola milioni 5.4 za kimarekani. Hata hivyo inadaiwa soko la Russia tahamani yake itakuwa ni dola bilioni 238 za kimarekani. Baadhi ya bidhaa ambazo zinasafirishwa nje ya Uganda ni pamoja na kahawa, chain a pilipili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako