• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari 240 wa ulinzi wa amani wa China wamaliza kazi yao nchini Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2019-11-25 19:35:16

    Kikundi cha kwanza cha askari 240 wa kikosi cha 5 cha ulinzi wa amani wa China nchini Sudan Kusini wamemaliza majukumu yao ya mwaka mmoja ya kulinda amani nchini Sudan Kusini yaliyopewa na Umoja wa Mataifa na kurudi nchini China.

    Askari hao waliwasili Zhengzhou, mji mkuu wa mkoa wa Henan jumamosi, na askari wengine watarejea China tarehe 7 mwezi Desemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako