• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Baraza la awamu ya sita la Shirikisho la urafiki kati ya watu wa China na Afrika

  (GMT+08:00) 2019-11-26 09:23:18

  Baraza la awamu ya sita la Shirikisho la urafiki kati ya watu wa China na Afrika limefanyika tarehe 25 mjini Beijing. Mkutano huo umemteua naibu mwenyekiti wa Baraza la awamu ya 13 la mashauriano ya kisiasa la China Bw. Li Bin kuwa mkuu wa shirikisho hilo. Baada ya mkutano huo, wanachama wa baraza hilo pamoja na mabalozi na wanadiplomasia kutoka nchi 14 za Afrika walihudhuria tafrija.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako