• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yaunga mkono mageuzi yenye maana ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

  (GMT+08:00) 2019-11-26 09:25:02

  Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Balozi Zhang Jun amesema China inaunga mkono mageuzi yenye maana na ya lazima ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kukidhi mahitaji ya nyakati. Balozi Zhang amesema kipaumbele ni kuongeza uwakilishi na sauti ya nchi zinazoendelea haswa nchi za Afrika. Amesisitiza kuwa mageuzi yanatakiwa kuongeza fursa kwa nchi ndogo na zenye ukubwa wa kati kujiunga na baraza hilo na mchakato wao wa kufanya maamuzi. Hii ni njia pekee ya kulifanya baraza hilo liwe la kidemokrasia, kuwa na uwazi na ufanisi zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako