• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Viongozi wa mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani wazungumza kwa njia ya simu

  (GMT+08:00) 2019-11-26 19:09:45

  Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China Bw. Liu He amefanya mazungumzo na mjumbe wa biashara wa Marekani Bw. Robert Lighthizer na waziri wa fedha wa nchi hiyo Bw. Steven Mnuchin kwa njia ya simu.

  Pande hizo mbili zimejadiliana kuhusu masuala yanayohusu maslahi yao kuu na kukubali kutatua masuala husika. Pia zimekubaliana kuendelea kufanya mawasiliano kuhusu mambo yaliyobaki ya kipindi cha kwanza cha makubaliano kati yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako