• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yaitaka timu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa iheshimu mamlaka ya Iraq

  (GMT+08:00) 2019-11-27 09:13:29

  Naibu mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Balozi Wu Haitao ameitaka Timu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu uhalifu wa kundi la wapiganaji la IS nchini Iraq (UNITAD) iheshimu mamlaka ya Iraq. Bw. Wu amesema UNITAD iinatakiwa kuheshimu vya kutosha mamlaka ya taifa la Iraq, na utekelezaji wake wa sheria juu ya uhalifu uliofanyika katika ardhi yake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako