• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • WHO yatoa mapendekezo mapya kupanua upatikanaji wa matibabu

  (GMT+08:00) 2019-11-28 09:21:08

  Shirika la afya duniani WHO limetoa mapendekezo mapya kuwasaidia watu milioni 8.1 wanaoishi na virusi vya Ukimwi ambao bado hawajatambuliwa, na hivyo bado hawajaweza kupata matibabu. Mapendekezo hayo ni pamoja na njia mbalimbali za ubunifu wa kukabiliana na mahitaji kwa hivi sasa, na kujifanyia upimaji kwa watu wenye hatari kubwa ya kuambukizwa kumetajwa kuwa ni njia muhimu ya utambuzi wa ugonjwa huo, badala ya kwenda katika vituo vya kliniki. Pia imependekeza kutumia mawasiliano ya kidijitali ikiwemo ujumbe fupi na video ili kuongeza idadi ya watu wenye hatari waliofanyiwa upimaji wa virusi vya Ukimwi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako