• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Jambojet kuanza safari za Mogadishu mwaka ujao

  (GMT+08:00) 2019-11-28 19:22:01

  Shirika la ndege la Jambo Jet limesema bado halipata idhini zote husika ili kuanzisha safari zake kwenda mjini Mogadishu Somalia.

  Hata hivyo shirika hilo lenye bei nafuu limeanza huduma za kwend Kigali Rwanda.

  Mkurungezi wa Jambojet Allan Kilavuka amesema wanaendelea na mazungumzo na mamlaka za Mogadishu ili kuanza safari mwaka ujao.

  Jambojet itahudumu kati ya Nairobi na Kigali kila siku.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako