• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tunisia: Tunisair kupunguza wafanyakazi wake

  (GMT+08:00) 2019-11-28 19:28:17

  Shirika la ndege la Tunisia, Tunisair linapanga kuwafuta kazi wafanyakazi wake 400 ifikapo mwaka 2020 likielezea kukubwa na hali ngumu ya kifedha.

  Ukosefu wa fedha kwa shirika hilo umesababisha kukwama kwa huduma kutokana na kukosa pesa za kununua vipuli.

  Tunisair, ina ndege 27 na wafanyakazi 8,000 lakini serikali imekuwa ikishindwa kuwapunguza kutokana na upinzani wa vyama vya wafanyakazi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako