• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KENYA: Chama cha wafanyabiashara cha Kenya kufungua ofisi UAE

  (GMT+08:00) 2019-11-28 19:28:36

  Chama cha Biashara na Viwanda cha Kenya (KNCCI) kitafungua ofisi ya biashara katika Falme za Kiarabu.

  Rais wa Chama hicho Richard Ngatia amesema kitasaini makubaliano na vyama mbalimbali kote duniani.

  Tayari Ngatia amesema UAE imekipa chama hicjho ofisini ya ukubwa wa futi 5,000 za mraba.

  Ofisi hiyo itasaidia biashara ndogo na za wasatani kufanya ubia na zile za milki za kiarabu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako