• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Donald Trump wa Marekani atembelea jeshi la Marekani nchini Afghanistan

  (GMT+08:00) 2019-11-29 09:40:43

  Rais Donald Trump wa Marekani amefanya ziara ya ghafla kwenye kituo cha jeshi la Marekani nchini Afghanistan. Hii ni mara ya kwanza kwa rais Trump kufanya ziara nchini Afghanistan, baada ya kukosolewa kutokana na kutotembelea jeshi la Marekani katika maeneo ya vita nje ya nchi kwa karibu miaka miwili tangu alipoingia madarakani. Alitembelea kwa mara ya kwanza jeshi la Marekani nchini Iraq wakati wa sikukuu ya Krismas ya mwaka 2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako