• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Sheria yapendekezwa kuondoa uchuuzi wa laini za simu

    (GMT+08:00) 2019-11-29 18:54:30

    Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya CAK inapendekeza sheria ya kupiga marufuku wachuuzi wanaouza laini za simu.

    Mamlaka hiyo imesema chini ya sheria hiyo, wachuuzi wa laini za simu watafungwa gerezani kwa miezi 6 au kulipa faini ya dola 3,000.

    Sheria hiyo inalemnga kuondoa wauzaji wa laini wasiosajiliwa ambao malmka hiyo inasema wanahatarisha oparesheni zake na za kampuni za huduma za mawasiliano kama Safaricom, Airtel na Telkom.

    Aidha kampuni hizo za mawasiliano zitahitajika kuajri mawakala wa kusajili laini za simu ambao wamepewa leseni na mamlaka hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako