• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Centum yapata ukuaji wa faida

  (GMT+08:00) 2019-11-29 18:55:11

  Kampuni ya uwekezaji kwenye kanda ya Afrika Mashariki Centum imetangaza kuwa faida yake imeongezeka kwa zaidi ya mara tatu ndani ya kipindi cha miezi 6 kilichokamilika septemba 2019.

  Mkurungezi mkuu wa kampuni hiyo James Mworia amesema faida imeingezeka kutokana na mauzo ya mara moja ya hisa zake kwenye kampuni tatu za vinywaji Almasi, Nairobi Bottlers na King Beverages Ltd.

  Tkutokna na mauzo hayo faida ilifikia dola milioni 67.9 kutoka dola 20.7 kipindi sawa na hicho mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako