• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Bank of Kigali yatangaza faida ya franc bilioni 25

  (GMT+08:00) 2019-11-29 18:55:31

  Bank of Kigali imetangaza faida ya franc bilioni 25 iliopata ndani ya miezi 9 ya kwanza ya mwaka 2019.

  Imesema biashara zake nyingine kama benki ya kibiashara na kampuni ya bima ndio zimesaidia ukuaji huo kwa kiasi kikubwa.

  Ukuaji huo ni ongezeko la asilimia 27 ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka jana.

  Bank of Kigali ina matawi kampuni nyingine nne zikiwemo bima na BK Capital.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako