• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yapokea dola milioni 2.4 kutoka china kufadhili kilimo

    (GMT+08:00) 2019-11-29 18:55:50

    Uganda imetia saini makubaliano ya kuendesha mradi wa kilimo wa dola milioni 2.4 utakaofadhiliwa na China.

    Mradi huo utaendesha na Uganda pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO.

    Waziri wa kilimo Vincent Ssempijja, amesema fedha hizo zitatumika kuimarisha kilimo na uzalishaji kwa kipindi cha miaka 3.

    Hii ni awamu ya tatu tangu mwaka 2012 ambapo China inatuma pia waatalam wa kilimo nchini Uganda kusaidia kuendeleza kilimo bora.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako