• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ateua mjumbe maalumu wa hali ya hewa

  (GMT+08:00) 2019-12-02 09:39:08

  Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amemteua Bw. Mark Carney ambaye sasa ni mkuu wa Benki ya Uingereza kuwa mjumbe maalumu anayeshughulikia hatua za kivitendo na mambo ya fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Akiwa mjumbe maalumu Bw. Carney atazingatia utekelezaji kabambe wa hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, kuhamasisha fedha za kijamii na binafsi kuchangia juhudi za kutimiza lengo la Mkataba wa Paris wa kudhibiti ongezeko la joto duniani chini ya nyuzi 1.5.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako