• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TANESCO yaapa kubeba vikombe vyote

  (GMT+08:00) 2019-12-02 20:40:42

  Mwenyekiti wa TANESCO Sports Club, Omary Shabani amesema mwaka huu TANESCO imejiandaa kuchukua makombe yote katika mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) yanayoendelea jijini Mwanza. Mashindano ya mwaka huu yanafanyika katika viwanja tofauti katika jiji hilo yakihusisha jumla ya timu 46 ikiwa ni ongezeko la klabu 20. Akizungumzia maandalizi ya TANESCO, Shabani alisema maandalizi ya timu zote yamekamilika na mpaka sasa hawajapoteza mchezo hata mmoja hivyo ndoto ya kuchukua mataji ya michezo yote inaanza kutimia taratibu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako