• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chama amlilia Aussems Simba

  (GMT+08:00) 2019-12-02 20:40:57

  Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama amemtakia kila la heri aliyekuwa kocha wake, Patrick Aussems baada ya kocha huyo kufutwa kazi katika timu hiyo aliyoitumikia kwa mwaka mmoja na nusu. Chama, raia wa Zambia, amesema Aussems ni kati ya makocha bora ambao amepata nafasi ya kufanya nao kazi, hivyo itamchukua muda kusahau uwepo wake katika klabu hiyo. Simba ikiwa chini ya Aussems ilitinga hatua ya robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika na ilitolewa kwa kipigo cha jumla ya mabao 4 – 1 na TP Mazembe ya DRC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako