• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda kupanua maeneo ya uwekezaji

  (GMT+08:00) 2019-12-02 20:54:30
  Waziri wa Uganda Bw Matia Kasaija ameitaka sekta ya kibinafasi nchini Uganda kupanua uwekezaji kwa maeneo huru yaliyoundwa na sekerali kuhimiza uwekezaji wa viwanda.

  Kasaija amesema serikali imeweka baadhi ya mambo ambayo inalenga kuwavutia wawekezaji wa nyumbani na wa kimataifa katika maenoe hayo huru ya uwekezaji kiwa ajili ya kupiga jeki uzalishaji wa kiviwanda na kuongeza usikindaji kwa malighafi ya ndani.

  Amesema uwekezaji wa maeneo huru utaiweka Kenya katika nafasi ya sasa ambayo inalenga kuuunda nafaso za kazi kwa idadi kubwa ya wakenya. Serikali iameweka mikakati inayolenga kuongesza kukuza uuzaji wa bidhaa nje ya nchi kwa ajili ya kuwavutia wawekezaji na hatimaye kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi.

  Waziri alisema hayo wakati wa mkutano na wadau kutoka sekta kibinafsi kutoka nchini Uganda, Uturuki, Tanzania, Kenya, China na Uganda miongoni mwa nyingine.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako