• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 25 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi wafunguliwa Madrid

    (GMT+08:00) 2019-12-03 09:41:46

    Mkutano wa 25 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi COP25 umefunguliwa jana mjini Madrid, na kutarajiwa kuendelea hadi tarehe 13..

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amesema, dunia inahitaji mshikamano na unyumbufu kushinda vita dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Amesema, njia pekee ya kudhibiti joto duniani ni kudhibiti matumizi ya mafuta.

    Naibu mkuu wa ujumbe wa China, ambaye ni naibu mkuu wa kitengo cha kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika wizara ya mazingira ya China Bw Lu Xinming, amesema ujumbe wa China utatoa mwito wa kuunga mkono taratibu za pande nyingi, China ikiwa ni nchi kubwa zaidi inayoendelea na inayowajibika, itafanya juhudi zote kuunga mkono taratibu zinazoshirikisha pande nyingi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako