• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tengeru, Tanesco zapaa 16 Bora

    (GMT+08:00) 2019-12-03 18:55:30

    Mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) yameemdelea kushika kasi baada ya Chuo cha Tengeru na TANESCO kuwa timu za kwanza kutinga 16 bora. TANESCO wametinga 16 bora baada ya kufikisha point 9 katika kundi B, huku Tengeru wakiwa washindi wa pili kwa alama 6, hivyo kuzifanya timu hizo mbili kuwa za kwanza kutinga hatua hiyo. Michuano hiyo inashirikisha timu kutoka mashirika na taasisi 46 katika michezo ya soka, kikapu, kuvuta Kamba, netiboli, mpira wa mikono na mchezo wa bao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako