• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China akutana na wageni waliohudhuria Kongamano la Kimataifa la Congdu

  (GMT+08:00) 2019-12-04 10:10:13

  Rais wa China amekutana na wageni waliohudhuria Kongamano la Kimataifa la Congdu.

  Rais Xi amesema katika miaka 70 iliyopita tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, China imepata maendeleo makubwa, na itaendelea kushikilia sera ya mageuzi na kufungua mlango, ili kutimiza "malengo mawili ya miaka mia moja".

  Rais Xi amesisitiza kuwa hivi sasa dunia inakabiliwa na mabadiliko makubwa ambayo hayajatokea katika miaka 100 iliyopita, na uhusiano kati ya China na historia pia unakabiliwa na mabadiliko ya kihistoria. Ikiwa nchi kubwa yenye watu zaidi ya bilioni 1.4, China inapenda kubaba majukumu ya kimataifa ipaswavyo, na nchi mbalimbali duniani zinapaswa kufanya mazungumzo ya kiujenzi, kushikilia utaratibu wa pande nyingi, ili kutoa mchango kwa ajili ya ujenzi wa jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu wote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako