• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran yasema haina mpango wa kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia

  (GMT+08:00) 2019-12-05 09:08:49

  Naibu waziri wa mambo ya nje wa Iran Bw. Abbas Araqchi amesema nchi yake haina mpango wa kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 JCPOA licha ya kupunguza utekelezaji wake wa makubaliano hayo. Bw. Qraqchi amesema kwenye mkutano wake na waziri wa mambo ya nje wa Japan Bw. Toshimitsu Motegi mjini Tokyo, kuwa Iran imeamua kupunguza utekelezaji wake kwa sababu nchi za Ulaya zimeshindwa kutekeleza ahadi zao za kulinda maslahi ya kiuchumi ya Iran kutokana na makubaliano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako