• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maharamia wateka watu 19 kwenye meli ya mafuta pwani ya Nigeria

    (GMT+08:00) 2019-12-06 09:15:40

    Mamlaka ya kusimamia mambo ya bahari nchini Nigeria NIMASA imethibitisha kuwa mabaharia 19 wametekwa nyara baada ya maharamia kuiteka meli ya mafuta pwani ya Nigeria. Mabaharia wengine tisa wameachiwa bila ya kufungwa, na meli hiyo haikuharibiwa wakati iliposhambuliwa Jumanne. Uraia wa mabaharia waliotekwa nyara bado haujajulikana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako