• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yalitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kudumisha mshikamano na ushirikiano

  (GMT+08:00) 2019-12-06 18:15:12

  Balozi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Zhang Jun amesema kuwa Baraza la Usalama la Umoja huo lina wajibu muhimu wa kulinda amani na usalama wa dunia, na nchi wajumbe wa Baraza hilo wanatakiwa kudumisha mshikamano na ushirikiano.

  Pia Balozi Zhang amesema, kuimarisha ushirikiano, kudumisha mshikamano, kulinda amani ya dunia na kuhimiza usalama na maendeleo ya kimataifa ni jukumu la pamoja la nchi zote wajumbe wa Baraza hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako