• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu maskini mkoani Xinjiang wapata nyumba mpya

  (GMT+08:00) 2019-12-08 16:59:51

  Kwa mujibu wa sera ya kuhamisha watu maskini kutoka milimani na jangwani, watu karibu laki 1.7 mkoani Xinjiang, China wamepata nyumba mpya zilizojengwa na serikali katika sehemu zenye mazingira mazuri.

  Kwenye makazi ya watu waliohamishwa, serikali pia imepanga miundombinu bora ikiwemo mtandao wa maji na umeme, barabara, gesi, shule, hospitali, viwanja vya michezo na bustani.

  Licha ya kupewa nyumba, watu hao pia wamesaidiwa kupata ajira ili kujiongezea kipato.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako