• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hamas yalaani mashambulizi ya Israel huko Gaza

  (GMT+08:00) 2019-12-09 09:22:26

  Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kupitia taarifa kuwa Israel "kuendelea kuongeza hali ya wasiwasi huko Gaza kwa kurusha mabomu dhidi ya vituo vya kijeshi vya Hamas na vikundi vingine vya wapiganaji" ni "hatari" na "hakuwezi kukubalika". Katika mashambulizi yaliyotokea alfajiri ya siku hiyo, ndege za Israel zilishambulia vituo vya kundi la Hamas na vifaa yake huko Gaza, ili kulipiza kisasi makombora matatu yaliyotengenezwa kienyeji yaliyorushwa kusini mwa Israel. Hakuna majeruhi walioripotiwa na pande zote mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako