• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Libya yafanya uchunguzi kuhusu kutendewa vibaya kwa rubani wa jeshi la upinzani

  (GMT+08:00) 2019-12-09 09:22:58

  Waziri wa mambo ya ndani wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa Bw. Fathi Bashagha ametoa agizo la kuanzisha uchunguzi wa haraka juu ya kutendewa vibaya kwa rubani wa jeshi la upinzani aliyekamatwa. Bw. Bashagha amesema, kutokana na ripoti za mtandao wa kijamii kuhusu kumkamata rubani wa kamanda wa jeshi la upinzani Bw. Haftar, mkuu wa usalama wa Zawiya ameamrishwa kufanya uchunguzi kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu, na matumizi mabaya ya madaraka ya Wizara ya mambo ya ndani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako