• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa wito wa kuhimiza mchakato wa amani ya mashariki ya kati kwa kufuata kanuni za kimataifa

  (GMT+08:00) 2019-12-09 09:23:36

  Mjumbe maalumu wa China anayeshughulikia suala la Mashariki ya Kati Bw. Zhai Jun, amesifu na kuunga mkono chaguo la kimkakati la Palestina la kutatua mgogoro wa Palestina kwa njia ya mazungumzo. Akiwa ziarani Palestina amesisitiza umuhimu wa kuondoa migogoro kati ya Palestina na Israel na kutafuta ufumbuzi unaoweza kukubalika kwa pande zote kwa kufuata maazimio yanayohusika ya Umoja wa Mataifa. Pia amesisitiza kuwa China inapinga kauli na vitendo vitavyoweza kuongeza hali ya wasiwasi kati ya Palestina na Israel.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako