• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kaseja kufanyiwa upasuaji wa goti

  (GMT+08:00) 2019-12-09 18:16:01

  Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Juma Kaseja, anasubiri kufanyiwa upasuaji wa goti. Kaseja alienguliwa kwenye kikosi cha timu hiyo katika dakika za mwisho kutokana na maumivu ya muda mrefu ya goti. Haijulikani kipa huyo atakuwa nje ya uwanja kwa muda gani. Kaseja ameidakia Taifa Stars katika michezo tisa na ameifanukisha timu hiyo ya Tanzania kufuzu michuano ya CHAN mwaka ujao itakayofanyika nchini Cameroon.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako