• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania:Serekali imepoteza mabilioni ya pesa kutoka na magendo.

  (GMT+08:00) 2019-12-09 18:55:05
  Serikali ya Tanzania imekuwa ikipoteza mapato kati ya shilingi bilioni nne hadi tano kwa mwaka, kutokana na uuzwaji wa mbuzi kwa magendo kwenda Kenya.

  Kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, serikali imekuwa ikikosa mapato hayo kwa kipindi cha miaka mingi kutokana na mifugo ha, kwenda kuuzwa Kenya kupitia mpaka wa Namanga.

  Hata hivyo, aliongeza kwa kusema kwamba, hadi kufikia mwaka jana, serikali imefanikiwa kuthibiti uuzwaji wa mifugo nje ya nchi ili kuokoa fedhazilizokuwa zikipotea.

  Mkuu huyo wa wiliya aliongeza kuwa kwa wakati fulaniilibidi serikali kutaifisha mifugo waliokamatwa kutoka kwa wafanyibiashara waliokuwa wakiuzwa kwa njia za magendo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako