• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi aongea kwa simu na rais wa Baraza la Ulaya

  (GMT+08:00) 2019-12-09 20:42:57

  Rais Xi Jinping wa China amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel mapema leo.

  Viongozi hao wamekubaliana kuwa kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya China na Umoja wa UIaya kunaendana na maslahi ya pamoja ya pande zote mbili na dunia kwa ujumla.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako