• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa picha za 3D kutoka satelaiti ya uchunguzi wa sayari ya dunia

  (GMT+08:00) 2019-12-10 18:06:12

  Mamlaka ya Taifa ya Anga Za Juu ya China imetoa awamu ya kwanza ya picha ya 3D kutoka takwimu zilizosajiliwa na satelaiti ya uchunguzi ya Gaofen-7 ya China.

  Satelaiti hiyo ni sehemu muhimu ya mradi wa uchunguzi wa sayari ya dunia, pia ni satelaiti ya kwanza ya China ya uchunguzi wa 3D wa usahihi wa sub-mita inayowahudumia raia.

  Satelaiti hiyo iliyozinduliwa tarehe 3, mwezi Novemba imeingia kwenye mzunguko wenye urefu wa kilomita 506, na inatarajiwa kufanya kazi kwa miaka minane. Hivi sasa, satelaiti hiyo imepiga picha elfu 14 ambazo zitatumika kutengeneza ramani ya 3D.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako