• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Tanzania Bara, Kenya, zashikwa CECAFA U – 17

  (GMT+08:00) 2019-12-12 19:25:01

  Timu ya soka ya wasichana chini ya miaka 17 ya Tanzania Bara ambayo ilianza kwa kishindo mashindano ya kombe la Chalenji, jana ililazimika kutoka sare ya mabao 3 – 3 dhidi ya timu ya Burundi. Kwa matokeo hayo, Tanzania Bara imefikisha alama nne sawa na Kenya, ambayo nayo mapema jana asubuhi ililazimishwa sare ya bao 1 – 1 dhidi ya Eritrea, timu iliyoonyesha kiwango kizuri katika mchezo wote. Mashindano hayo yataendelea tena kesho ambapo Tanzania Bara watakutana na Kenya, huku Burundi ikiwavaa Djibouti na Uganda wakikabiliana na Eritrea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako