• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Eliud Kipchoge kutuzwa Shahada ya Heshima ya Sheria na Chuo Kikuu cha Exeter

  (GMT+08:00) 2019-12-12 19:29:42

  Wiki moja tu baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima katika masuala ya Sayansi kutoka Chuo Kikuu cha Laikipia, mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za Marathon Eliud Kipchoge anatazimiwa kutuzwa tena Shahada ya Heshima ya Sheria hii leo katika Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza. Chuo hicho kimetangaza kuwa, kitamkabithi mwanariadha huyo cheti hicho wakati wa sherehe yake ya kufuzu kwa mahafali. Baraza la seneti la chuo hicho limemtambua bingwa huyo kwa ufanisi wake kwenye nyanja ya michezo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako