• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yafanya mkutano wa mwaka wa uchumi

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:16:43

  Mkutano mkuu wa mwaka wa kazi za kiuchumi umefanyika Beijing kuanzia Jumanne hadi Alhamisi, ambapo viongozi wa China walipanga mipango kuhusu kazi za kiuchumi kwa mwaka 2020.

  Rais Xi Jinping wa China alihutubia mkutano huo, pia amepitia kazi za kiuchumi za mwaka 2019, kujadili hali ya sasa na kupanga kazi kwa mwaka 2020 ambazo ni muhimu kwa China. Katika mwaka ujao, China inatarajiwa kutimiza malengo ya kufanikisha ujenzi wa jamii yenye maisha bora kwa pande zote na mpango wa 13 ya miaka mitano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako