• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kusaidia watu maskini kupata ajira mwakani

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:35:39

  Ripoti iliyotolewa na mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC inasema, ajira ni jambo muhimu zaidi ya maisha ya watu, kwa kuzingatia hilo, mkutano wa kazi za kiuchumi wa Kamati Kuu ya CPC uliofungwa leo umesema, mwakani, China itadumisha hali ya jumla ya ajira, kuboresha muundo wa ajira, kuongeza sifa ya ajira na kuwasaidia watu maskini kupata ajira. Aidha, China itahimiza mageuzi na kufungua mlango katika sekta ya huduma za jamii haswa matibabu na utunzaji wazee.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako