• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Msingi wa uchumi wa China wa kuendelea kukua kwa utulivu na kwa muda mrefu haujabadilika

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:47:03

  Mkutano mkuu wa mwaka wa kazi za kiuchumi wa China uliomalizika leo umesema, msingi wa uchumi wa kuendelea kukua kwa utulivu na kwa muda mrefu haujabadilika.

  Maendeleo mazuri yamepatikana kwenye sekta za uchumi na jamii nchini China mwaka huu, kazi zinazolenga kuondoa umasikini kwa usahihi zimepata mafanikio mazuri, hatari za mambo ya kifedha zimedhibitiwa kwa ufanisi, hali ya mazingira ya asili imeboreshwa, na mageuzi na ufunguaji mlango vimepiga hatua muhimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako