• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kufungua mlango wake zaidi kwa nje

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:47:44

  Mwakani, China itafungua mlango zaidi kwa nje kwenye sekta nyingi na kwa kiwango kikubwa.

  China itaongeza nguvu ya kuhimiza na kulinda uwekezaji wa makampuni ya kigeni, kupunguza sekta zisizoruhusiwa kuwekezwa na wageni, na kudumisha ukuaji mzuri wa biashara yake ya nje. Pia itatuliza na kupanua matumizi ya mitaji ya kigeni, kupunguza ushuru, kuhimiza ujenzi wa bandari ya biashara huria mkoani Hainan, kukamilisha sera ya uwekezaji na mfumo wa huduma wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", na kuharakisha mazungumzo ya biashara huria ya pande mbili na ya pande nyingi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako