• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuhakikisha kutimiza majukumu ya kuondoa umaskini mwakani

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:47:59

  Mkutano mkuu wa mwaka wa kazi za kiuchumi uliomalizika leo umesema mwakani, China inatakiwa kukamilisha majukumu yote ya kuondoa umaskini kwa mpango uliowekwa.

  Mkutano huo umeamua kuwa, sera na fedha zinatakiwa kutolewa kwa kupendelea mikoa yenye umasikini uliokithiri, kutekeleza hatua za kukuza sekta zinazosaidia kuondoa umaskini, na kuwahamisha watu maskini kwenye makazi mapya. Pia kufuata ipasavyo vigezo vya kutohesabiwa kuwa watu maskini na kuimarisha matokeo ya kuondokana na umaksini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako