• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuongeza uwezo wa kiuchumi kwa pande zote

  (GMT+08:00) 2019-12-12 20:50:49

  Mkutano wa kazi za kiuchumi wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China umesema, mwaka 2020, China itaongeza uwezo wa kiuchumi kwa pande zote, kupitia uvumbuzi na mageuzi, na kuharakisha ujenzi wa mfumo wa kisasa wa uchumi. Hatua halisi ni pamoja na kukuza mageuzi ya mfumo wa sayansi na teknolojia, kuendeleza uzalishaji wenye uwezo wa ushindani, kuendeleza uchumi wa kidata, na kuhimiza maendeleo ya eneo la Beijing, Tianjin na Hebei, eneo la Mto Changjiang, na eneo la ghuba kubwa ya Guangdong, Hong Kong na Macao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako